Platform namba moja Afrika

Miliki Website Yako Ya Video Leo!

Anzisha biashara yako ya video (Kama Netflix au Youtube) ndani ya dakika 2 tu. Bila kuhitaji ujuzi wa programming.

Dashboard Preview

Mapato Leo

TSh 150,000+

500+

Active Sites

10M+

Video Views

150M+

Tenants Earned

24/7

Support Bora

Kwanini Ututumie Sisi?

Mambo yote yamerahisishwa kwa ajili yako.

Customize Kila Kitu

Badili rangi, jina la website, na weka APK yako ya kupakua app kirahisi kupitia dashboard yako.

Malipo ya Papo kwa Papo

System imeunganishwa na API za malipo ya mitandao ya simu TZ kupitia Provider Waaminifu hapa Tanzania.

Usalama wa Hali ya Juu

Data zako na za wateja wako zipo salama. Withdrawals zinafanyiwa approval na admin mwenyewe.